Hiyo namba inayoonekana kwenye screenshot juu ni yako?Vyuma kuzidi kukaza na kukazana ndo watu wanazidi kuumiza vichwa ili kuwaingiza mkenge watu wengine japo wengi tushakuwa makini make huu mwaka kila mtu anatafuta wa kumalizana nae kama mimi jamaa alivyotaka kumaliza na mm mwaka vizuri ....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa poa mkuuHapana mkuu ...ni ya huyo aliyetuma sms na mm nimefanya maksudi kuiweka
Pole zake maana mtu anapo ikuta SMS kama hizo lazima kinuke cha mhimu ukiona SMS kama hizo futa endelea na majukumu mengneHatari sana
Kuna na zile sms za waganga naona jiran ishamletea matatizo kwenye familia yake
Hiyo mimi pia nishatumiwa sikuhangaika nao coz nimatapeliHatari sana
Kuna na zile sms za waganga naona jiran ishamletea matatizo kwenye familia yake
UsiitoeAu nimstili niitoe ?
Mi huwa nawatukana mkuu [emoji116] [emoji116] [emoji116]Hatari sana
Kuna na zile sms za waganga naona jiran ishamletea matatizo kwenye familia yake
Vyuma vimekaza haswaa watu wazidi kutafta mbinu za uliza watu, ila wale wapenda shirki watahadaikaYaap huwez kuhangaika na huu upuuzi