House4Rent Vyumba kupanga kwa wanafunzi!

House4Rent Vyumba kupanga kwa wanafunzi!

kalooo son of Kambarage

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
275
Reaction score
181
Kuna chumba cha kinapangishwa maeneo ya makongo karibu na chuo cha Ardhi,kizuri kwa wanafunzi wa vyuo

Kodi ya mwezi ni kama 50,000/= tu hakina udalali kwa wanafunzi wa vyuo kama Ardhi,Udsm,Ubungo na maeneo mengine ya karibu karibuni.

20210926_222619.jpg
20210926_222046.jpg
 
Pinga rangi na ufanye marekebisho kidogo kwanza ili itoke kwenye muonekano wa stoo
 
Back
Top Bottom