Vyumba self,sebule, jiko lake vinapangishwa kigamboni sh.150,000 na 160,000 kwa mwezi

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Wakuu habarini za weekend? Napenda kuwaletea taarifa za kuwapo kwa set mbili za chumba self, sebule na jiko lake zinazopangishwa Kigamboni.
Zote ziko katika kiwango cha juu na kodi zake ni sh. 150,000 kwa ya kwanza na 160,000 kwa hiyo ya pili.
Mwenye kuhitaji karibu PM.
 
Mimi nitataka Unitafutie January, nyumba zuri ya bei poa, hukohuko KG, isiwe mbali sana na barabara, vyumba viwili, sebule, jiko na choo (sio cha kushare). Nataka kuanzia January Mosi, 2015.
mwezi wa 12 tunaweza kulipia kama haitazidi 160,000 kwa mwezi!!
 

Nitakujulisha, ila itazidi kidogo 160,000
 
Tatizo lako huwa uweki picha na wala utaji K/mboni sehemu gani? Wewe unasema tu 4km from ferry sio wote tunajua hivyo vipimo.
 
Tatizo lako huwa
uweki picha na wala utaji K/mboni sehemu gani? Wewe unasema tu 4km from
ferry sio wote tunajua hivyo vipimo.

Nakuelewa Mkuu, tatizo kwa walio wengi ambao hawaishi Kigamboni, ni vigumu kutambua maeneo na ni rahisi kwao kuelewa ilipo sehemu inayozungumziwa kwa kuwianisha umbali wa ilipo hiyo sehemu kutoka katika sehemu maarufu inayojulikana na wengi kama feri kwa mfano.
Kwa mfano ukisema vijibweni, mtu anaweza akadhani iko karibu na mjimwema, Tuangoma au Gezaulole ambako ndiko amewahi kufika. Kwa mwenyeji si tatizo lakini kwa mgeni maswali yanakuwa mengi.
Hivi vyumba viko Tungi na kwa Msomali. Kuhusu picha, najitahidi kuappload zinakataa.
 

Umesomeka mkubwa,ni vema kutaja sehemu na km zake kutoka sehemu ya reference maana nlijua zipo kibada maana hapo ndio napajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…