vyumba vinapangishwa mwenge na kawe bei nafuu

Joined
Apr 16, 2013
Posts
20
Reaction score
2
vyumba vya kupanga vipo mwenge karibu sana na stendi kuu na vingine viko kawe kwa joseph, vipo vya sitini, sabini na themanini, kwa anaehitaji kuviona tuwasiliane kwa namba 0774797679, ni full tiles, maji ya kumwaga yapo, sihitaji dalali.
 
 
boss chumba sebule jiko na choo vipo? pesa ngapi itakua kwa mwenge tafadhali
 
Mkuu hivyo vyumba ni self au single?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…