Vyumba vinapangishwa

Vyumba vinapangishwa

real lyf 2015

Senior Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
166
Reaction score
27
hbri, kuna chumba na sebule choo ndani 70,000kwa mwezi. makoka....ina silinbod, rangi, gari mpaka mlangoni... changamkia ofa..
kwa maelezo.zaid..
nichek kwa pm
 
Picha muhimu

wahi ofa! nina nyumba mpya yenye chumba na sebule choo ndani, vina gipsam, rangi nzuri inayong'aa, umeme luku watu3, mlango wakutokea na kuingilia wake mwenyewe, gari mpaka mlangoni, haina masharti na mazingira ni mazuri mno pia pametulia, kodi 70,000 miezi 6.... Nyumba ipo makoka stend stendi,
 
hbri, kuna chumba na sebule choo ndani 70,000kwa mwezi. makoka....ina silinbod, rangi, gari mpaka mlangoni... changamkia ofa..
kwa maelezo.zaid..
nichek kwa pm

nina chumba na sebule full tiles, gipsam, choo ndani, ni nyumba nzuri gari inafika mpaka ndani, ina fensi, eneo kubwa la kupaki magari,usalama wakutosha, luku yako mwenyewe, maji yapo humo humo,kodi laki moja, miezi 6. nyumba ipo makoka mwisho... changamkia ofa
Kwa mawasiliano piga 0714260412
 
Back
Top Bottom