Vyumba vya kupanga bajeti Tsh 100,000

Tutuba

Member
Joined
May 4, 2020
Posts
36
Reaction score
48
Natafuta chumba sebure na jiko kea 100000 hata ukiwa chumba na sebure iwe katika mazingira mazuri Kodi miezi mitatu iwe maeneo ya makumbusho,kinondoni,namanga,hata mwenge sio mbaya
 
Ifike mahali wenye nyumba tuanzishe chombo cha kutetea maslahi yetu. Imagine gharama za kujenga zilivyo halafu mtu anataka umkabidhi nyumba ya milioni zaidi ya 15 aishi humo awe anakupa laki kwa mwezi wakati mmiliki wa bajaj ya milioni 8 anakunja zaidi ya 600,000 kwa mwezi
 
 

Na pamoja na kodi hailipi. Bado mpangaji anasumbua kulipa kodi. Mpaka mshikane mashati. Kodi longo longo tupu
 
Na pamoja na kodi hailipi. Bado mpangaji anasumbua kulipa kodi. Mpaka mshikane mashati. Kodi longo longo tupu
Na nyie ni wasumbufu pia fanyeni mchakato nipo serious
 
mkuu na wewe nunua bajaji uanze kukunja zaidi ya 600,000 kwa mwezi

"kila mtu ashinde mechi zake tu"
 
Mpangaji ana masharti kibao, anataka gari kwa hela ya baiskeli..
 

Huna nyumba wewe wapi kasema anataka nyumba nzima? Mtoa mada kasema chumba na sebule otherwise nje ya mada.
 
Hizi biashara mbili tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…