Vyumba vya kupanga maeneo ya Kimara Suka vinapositiwa bei rahisi alafu vizuri kinoma kuna nini huko?

Vyumba vya kupanga maeneo ya Kimara Suka vinapositiwa bei rahisi alafu vizuri kinoma kuna nini huko?

Faru01

Member
Joined
Jun 29, 2022
Posts
32
Reaction score
125
Wakuu kwema?.

Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
 
Sasa si ufike huko Kimara ukaulize ili uje na taarifa kamili?
 
Kuna umbali mkubwa kutoka huko chumba kilipo paka morogoro road.
 
Ni mbali na barabara
Huduma Kama soko ni mbali tegemea kufata vitu mbali au vikipitishwa na wauza ni gharama.
Mwendo wa kupandisha vilima Kama mbeya yaani😂😂
Ila utulivu mzuri hakuna makelele
 
Hayo maeneo uwe pia na ujuzi wa karate na judo..umwe mweledi kwenye kupangua roba za mbao na kabali
 
Back
Top Bottom