Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
Ni mbali na barabara
Huduma Kama soko ni mbali tegemea kufata vitu mbali au vikipitishwa na wauza ni gharama.
Mwendo wa kupandisha vilima Kama mbeya yaani😂😂
Ila utulivu mzuri hakuna makelele