becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 665
- 825
Habari wakuu, kuna vyumba vipo viwili na vyote ni double, vipo Kawe Ukwamani, ni kama mita 40 kutoka stand ya Ukwamani, kila chumba 50,000 Tshs, kwa viwili inakua 100,000 Tsh kodi ni miezi sita.
Ukihitaji kuja kuviangalia, piga: 0679851483 au 0754984819.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukihitaji kuja kuviangalia, piga: 0679851483 au 0754984819.
Sent using Jamii Forums mobile app