becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 665
- 825
Ah okay, ila mimi sio dalali....................Mleta mada nakushauri kama wewe ni dalali washauri hao wenye nyumba huko mitaani kufanya mambo kikisasa,huwezi mpangisha mtu room kwa 50K halafu haina tiles hata kama ana shida ataingia akikaa kidogo shida zikimuisha ataondoka kutafuta chumba chenye mandhari nzuri.
Pia tiles zinapendezesha chumba haraka sana utapata mteja siyo kama kinavyoonekana.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Hamna tiles mkuu, ila ukitaka tunaweza arrange tiles zikakuwepo au bei ikapungua.Ongeza picha chini hamna tiles?