Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka bei kabisa maswala ya kupigiana simu ni ya kizamaniKwa wanao itaji vyumba magomeni vinapatikana. Vinasifa hifuatayo.
Chumba na sebule, chumba ni self container. Maji Massa 24/7, gipsum, ukubwa 12 ×12. Kwa mawasiliano nicheki.
0625511737.
weka picha mkuu au sifa za nyumba ukiachilia maji, umemeKwa wanao itaji vyumba magomeni vinapatikana. Vinasifa hifuatayo.
Chumba na sebule, chumba ni self container. Maji Massa 24/7, gipsum, ukubwa 12 ×12. Kwa mawasiliano nicheki.
0625511737.
Sasa hivi unaishi wapi? Oysterbay?Kuishi magomeni hapana..................................... kwa kweli Magomeni..................?? Baada ya kazi ngumu za kutwa nzima na kisirini cha kufokewa na boss unahitaji mahali tulivu pa kukaa na VIP wa kukusugua sasa huko honi hewa malori clubs dada/kaka poa hapana ngoja waje wapenda vya magomeni................. nakitu ingine nimekumbuka nyumba ni mpya au? bado ni zile paa lake liko hapo u
Sasa hivi unaishi wapi? Oysterbay?
Chumba cha 80k kinakuaje?Kwa wanao itaji vyumba magomeni vinapatikana. Vinasifa hifuatayo.
Chumba na sebule, chumba ni self container. Maji Massa 24/7, gipsum, ukubwa 12 ×12. Kwa mawasiliano nicheki.
0625511737.