Vyungu vya kuyeyushia Dhahabu na Scale za TANITA za japani

Kubwalijalo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
364
Reaction score
290
Nauza vyungu vya kuyeyushia Dhahabu pamoja na vifaa vyote vinavotumika Elution pamoja na Scale za Tanita za Japani, Na vipimo vya maji kwa ajili yakuangalia asilimia kwa Bei nzuri kabisa. Kwa mawasiliano: +255689511212 or +255778353535
Whatsapp +971589413651
 

Attachments

  • 20191122_150557.jpg
    92.4 KB · Views: 26
  • 20191122_150226.jpg
    119.3 KB · Views: 23
  • images (29).jpeg
    15 KB · Views: 25
  • images (27).jpeg
    16.7 KB · Views: 28
  • images (30).jpeg
    16.7 KB · Views: 32
  • jqccj-cup-crucible-50-teals.png
    26.4 KB · Views: 43
  • Us-Supplier-Different-Types-of-Crucibles-Gold.jpg_300x300.jpg
    5.6 KB · Views: 29
  • images (17).jpeg
    29.4 KB · Views: 21
Ukiwa unahitajia vifaa vyote (kasoro mzani ule wa maji kwaajili ya %) kuyeyushia dhahabu ni kama Tshs ngapi?
 
Vizuri ungelisema kama kitu kipi unahitajia.
 
mrangi,


Naja pm...hata kw mikopo mwaka huu lazima kielewek[emoji1]
Njoo huwezi shindwa kufanya Biashara na mm
Hii kama naitoaa tu maana situmii
Ipo dar kwenye box tu
Mm mzushi huwezi hauwezi shindwana
Alafu nna slice machine pia ya kukamatia dhahabu mtoni..... Zote naziuzaaaa

Ova
 
Njoo huwezi shindwa kufanya Biashara na mm
Hii kama naitoaa tu maana situmii
Ipo dar kwenye box tu
Mm mzushi huwezi hauwezi shindwana
Alafu nna slice machine pia ya kukamatia dhahabu mtoni..... Zote naziuzaaaa

Ova


Bas hyo slice niliona dingi ananiulixoa last week..hee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…