Vyuo 20 Duniani kukutana Tanzania kujadili uchumi

Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
1,075
Reaction score
1,423
Vyuo Vikuu vya Biashara 20 kutoka ndani na nje ya Africa ambavyo vitakutana katika kongamano la pamoja ili kushirikiana na kujadili jinsi ya kuyasaidia mataifa ya Kiafrika katika kuendesha shughuli za kibiashara ikiwemo sekta ya Viwanda.

Eveline Richard ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu UDSM ambapo pia ni mwenyekiti wa kongamano hilo, akizungumzia umuhimu wa vyuo katika kukuza uchumi wa kibiashara kwenye nchi za Kiafrika.


 
Itapendeza kama yatakayojadiliwa yatafanyiwa kazi, yasiishie kwenye power points!
 
Mtajadili kwa kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…