Vyuo 21 feki nchini India

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325

Kichwa Cha Habari Kimejitosheleza ILA Kwa Kifupi Tu Ni Kwamba Nimejikuta Girlfriends Zangu Wote 21 Nilionao Kwa Sasa Kumbe Wote Wamesoma Na Kuhitimu Katika Vyuo Vikuu Hivi Feki Vya Nchini India.

1. Maithili University, Darbhanga, Bihar

2. Varanseya Sanskrit Vishwavidyalaya, Delhi

3. Commercial University Ltd, Delhi

4. United Nations University, Delhi

5. Vocational University, Delhi

6. ADR- Central Juridical University, Delhi

7. Indian Institution of Science and Engineering, Delhi

8. Badagnavi Sarkar World Open Educational Society, Belgaum, Karnataka

9. St. John's University, Kishanattam, Kerala

10. Kesarwani Vidyapith, Jabalpur, Madhya Pradesh

11. Raja Arabic University, Nagpur, Maharashtra

12. D D B Sanskrit University, Putur, Trichy, Tamil Nadu

13. Indian institute of Alternative Medicine, Kolkata, West Bengal

14. Mahila Gram Vidyapith, Allahabad, Uttar Pradesh

15. Gandhi Hindi Vidyapith, Allahabad, Uttar Pradesh

16. National University of Electro Complex Homeopathy, Kanpur, Uttar Pradesh

17. Netaki Subhash Chandra Bose University, Aligarh, Uttar Pradesh

18. Uttar Pradesh Vishwavidyalaya, Uttar Pradesh

19. Maharana Pratap Shiksha Niketan Vidyalaya, Pratapgarh, Uttar Pradesh

20. Indraprastha Shiksha Parishad, Noida-Phase II, Uttar Pradesh

21. Gurukul Vishwavidyalaya, Mathura, Uttar Pradesh


SOURCE : INDIA TIMES - 7/1/2015


Nimekosa Nguvu, Miguu Yangu Yote Nayo Imekuwa Mizito Na Pressure Imenipanda Na Kibaya Zaidi Wapenzi Wangu Wote Hao ( 21 ) Idadi Ya Hivyo Vyuo Feki Tajwa Hapo Juu Nimeshapeleka Hadi Barua Za Uchumba Makwao. Naombeni Msaada Wenu Tafadhalini Kwani Ni Kama Vile Nimechanganyikiwa Kwa Hii Taarifa Na Kuna Mmoja Nipo Nae Sasa Hapa Kitandani Kasoma Hicho Chuo Cha 19 Na Kuna Mwingine Namtegemea Aje Saa 7 Mchana Yeye Nae Kasomea Hicho Chuo Namba 21. Nina Balaa Gani Mimi Jamani!

Nawasilisha.
 
Asante kwa taarifa japo umeileta kama mzaha ila ni tahadhari Nzuri!!!

Vipi na girlfriend wako wa Kampala University na St Joseph??!!
 
Asante kwa taarifa japo umeileta kama mzaha ila ni tahadhari Nzuri!!!

Vipi na girlfriend wako wa Kampala University na St Joseph??!!

Ndiyo Nilikuwa Nataka Nikatongoze Wa KIU Na St. Joseph Ila Nikaambiwa Kuwa Nikifanya Hivyo Nitakuwa Ni Sawa Na Kutoka Katika Afadhali Na Kwenda Katika Potelea Mbali. Nimesitisha Uamuzi Wangu Huo.
 
Ukipata scholarship au support ya wazazi kwenda kusoma bachelor nje ya nchi kama sio ivy league university usiende
 
Ngoja niuendeleze

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Natafuta watu wanaohusika na kazi za kuunganisha watu na vyuo vya india

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…