Tanzanian kid
Member
- Apr 1, 2025
- 98
- 168
Hahaha kwanini uchafu?1.must
2.udom
3.dit
4.arusha technical center (ATC)
Vinginevyo uchafu......
Hahaha kwanini uchafu?
But hujanipa majibu ya kukinaisha nakubali majibu yako lakini bado nataka majibu kama msomi kakaWazee wa kukalili it ni coding na programming sio mambo mengine......
Wazo lako zuri kaka,lakini unawasaidiaje ambao hawana uwezo wa kufika uko nje ya nchi..napendekeza tungeongelea vyuo vya hapa hapa nchini kwetu maana ndio tunavyo humu na tupo humuHakuna vyuo hapa vya IT unajisumbua kama skill yako sio kwenye IT.
Nenda nairob,uganda,south afrika,india,malysia,ujerumani,USA na UK.
Mtu ukisoma india hata kama umesomea upishi ukatamani usome IT ila hiyo IT utakayopata ni hatari kuliko ya hapa ambayo unasoma mpaka unamaliza code zinakushinda
Hii ndio comment niliyokua naitafta sana kaka,ahsante sana nataka mtu anipe sababu sio majibu tu,ahsante kaka nimekuelewa ngoja tusubiri na maoni ya wengine binafsi mie udom nawakubaliUDOM ni the best kwenye masomo ya kompyuta upande wa Degree. Sababu wana computer lab kubwa inayojitosheleza na isiyo na restrictions hivyo muda mwingi mwanachuo anaweza ingia kutumia vifaa ambavyo angalau ni latest kulinganisha na vyuo vingine.
Kuna vyuo hata WiFi ni anasa, ikiwepo inazimwazimwa au haina nguvu au inazidiwa wakiwepo users wengi. UDOM hii shida hamna.
Pia wanaosoma masomo ya kompyuta ni wengi pale, na wanapeana ushindani mzuri. Hakuna vilaza sio wale waliosoma IT kisa walikosa kozi za kusoma, wengi walikuwa na passion na walienda kwa kutaka na walikuwa na background kidogo.
DIT ni the best kwenye Diploma, ila Degree hawaizidi UDOM. Nina classmate wa A Level alikuwa IT chuo fulani alienda field inayoandaliwa na IGA, wanakutanishwa vipanga wa vyuo vyote ila UDOM ndio wababe wao.
Pale SUA computer labs zipo sema changamoto sana baadhi ya computer hazifanyi kazi pia muda mwingine hakuna kuingia youtube yani kuna sheria flani ivi zipoUDOM ni the best kwenye masomo ya kompyuta upande wa Degree. Sababu wana computer lab kubwa inayojitosheleza na isiyo na restrictions hivyo muda mwingi mwanachuo anaweza ingia kutumia vifaa ambavyo angalau ni latest kulinganisha na vyuo vingine.
Kuna vyuo hata WiFi ni anasa, ikiwepo inazimwazimwa au haina nguvu au inazidiwa wakiwepo users wengi. UDOM hii shida hamna.
Pia wanaosoma masomo ya kompyuta ni wengi pale, na wanapeana ushindani mzuri. Hakuna vilaza sio wale waliosoma IT kisa walikosa kozi za kusoma, wengi walikuwa na passion na walienda kwa kutaka na walikuwa na background kidogo.
DIT ni the best kwenye Diploma, ila Degree hawaizidi UDOM. Nina classmate wa A Level alikuwa IT chuo fulani alienda field inayoandaliwa na IGA, wanakutanishwa vipanga wa vyuo vyote ila UDOM ndio wababe wao.
Kaka wazo lako zuri sana lakini nataka unipe ata mwangq kidogo kuhusu kitu hata kwa uchache kinachowanya udsm kuwa bora zaidi juu ya vyuo vingine katika ITUDSM ndio bora zaidi. Watu tejenge utamaduni wa kutembelea mabanda ya maonyesho tujue mambo yanavyofanyika vyuoni.
Soma mwenyewe kuna forum ,pia kuna youtube alafu kuna kitu kimoja sasa.Wazo lako zuri kaka,lakini unawasaidiaje ambao hawana uwezo wa kufika uko nje ya nchi..napendekeza tungeongelea vyuo vya hapa hapa nchini kwetu maana ndio tunavyo humu na tupo humu
Hahahahaha ahya bhana kaka apa nachukua point tuseme unafundishwa na manguli wa ICT pia ukizingatia ni chuo kongweChuo ni kimoja tu,
1.UDSM - CoICT
2.UDSM - CoICT
3.UDSM - CoICT
Hivyo vingine ni vituo vya kujifunzia computer! Sio vyuo! CoICT utafundishwa na maprofessor na manguli wa ICT na exposure ni kubwa mno! Practicals za kutosha! EPUKA MATAPELI
Wana kalilisha kuna mmoja wenu prof nilimpiga swali kuhusu binary na utambuzi wa lugha.Kama ningekuwa nasoma hapo miaka hiyo ya jakaya ningeshafukuzwa chuoChuo ni kimoja tu,
1.UDSM - CoICT
2.UDSM - CoICT
3.UDSM - CoICT
Hivyo vingine ni vituo vya kujifunzia computer! Sio vyuo! CoICT utafundishwa na maprofessor na manguli wa ICT na exposure ni kubwa mno! Practicals za kutosha! EPUKA MATAPELI
Bro unaweza kuwa daktari kwa kusoma online?Soma mwenyewe kuna forum ,pia kuna youtube alafu kuna kitu kimoja sasa.
Ai imekuwa msaada mkubwa wa kukufafanulia code na kukufundisha
SijakuelewaBro unaweza kuwa daktari kwa kusoma online?
Bro mie kuna baadhi ya vitu nimesoma online lakini kwa hili nitakataa kaka yani IT mfano degree ya miaka 3 chuoni then ulinganishe na tutorial za youtube au kununua course udemy n.k tuachane na hilo vipi upande wa vifaa na n.k utamudu vipi angalau chuoni baadhi ya vifaa unakuta tiyari vipoSoma mwenyewe kuna forum ,pia kuna youtube alafu kuna kitu kimoja sasa.
Ai imekuwa msaada mkubwa wa kukufafanulia code na kukufundisha
We mada yako unataka ufundi au nini.Bro mie kuna baadhi ya vitu nimesoma online lakini kwa hili nitakataa kaka yani IT mfano degree ya miaka 3 chuoni then ulinganishe na tutorial za youtube au kununua course udemy n.k tuachane na hilo vipi upande wa vifaa na n.k utamudu vipi angalau chuoni baadhi ya vifaa unakuta tiyari vipo