Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

Chuo kwa upande wa IT na information security ni UNIQUE ACADEMY TU UPANGA Kwa ngazi ya degree huko kwingne UDOM, UDSM SUA MUST ni TAKATAKA hakuna lolote wanalolijua zaid ya kukariri madesa
Mtu anayesoma chuo ana uwezo mzuri wa kusoma hiyo Unique Academy na akakuzidi wewe wa mtaani.

Wakati nipo chuo wanangu kadhaa walipiga hizo Udemy, Unique Academy, certificates za Microsoft na mmoja alipata cheti cha Huawei ndio kilimpa kazi.

Huwa inanichekesha raia mwenye watoto, mke na familia anayejifanya anaweza kusoma online kumzidi mwanachuo serious ambaye full time yeye ana kazi ya kusoma.

Nenda na Unique Academy yako ukapatie kazi.
 
Jambo hili pia nimelifikiria sana labda kama anaongelea certificate ya kozi fulani
 
Hapa pia anaongelea chuo kinaitwa UNIQUE ACADEMY kipo dar
 
Tz vyuo hazina kitu kabisa wapo outdated
 
Chuo hamna kitu unaweza kupiga online na ukawa the best, a lot of programmers ni self taught huko chuo ni vyeti tu
 
Chuo hamna kitu unaweza kupiga online na ukawa the best, a lot of programmers ni self taught huko chuo ni vyeti tu
Unaweza soma chuo na ukapiga online. Kama unaweza sukuma mkokoteni na ukasoma online, kwanini usiweze kusoma chuo na ukasoma online?
 
unique academy university ni chuo kikuu KIPO chini ya TCU kinapatikana UPANGA dar es salaam kwahyo punguza Ujuaji kaka
 
UDOM hands up aisee, watu wanapadharau but hafahamu CIVE vizuri. On of the best
 
Umeshapata ajira..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…