Vyuo gani vinatoa Certificate ya Records Management?

cr9

Senior Member
Joined
Oct 13, 2010
Posts
185
Reaction score
103
Habari ya leo wadau.
Jamani mi nauliza ni vyuo gani hapa TZ vinatoa Certificate ya Records Managent
 
Chuo cha utumisi magogoni, tabora, na mtwara
 
tanzania public servise, tps
opposite office ya waziri mkuu,
 
Magogoni,ila ni wavivu hao makazini,hawajitumi afu wana kibri ,ukiwatuma mafail wanavuta mdomo wakati ni kazi yake
 
magogoni wana tawi singida wamefungua, nenda sgd
 
Habari ya leo wadau.
Jamani mi nauliza ni vyuo gani hapa TZ vinatoa Certificate ya Records Managent
Mkuu unatafuta chuo cha kusoma au unatafuta chuo kinachotoa certificate?
 
chuo kikuu cha Tumaini Dar pia wanayo certificate in records management.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…