we kwl hamnazo kumbe unataka vya dar haya subir waje au nenda cbe
njoo SAUT mwanza nd chuo kinachoongoza kw hyo koz tanzania nzima
Wadau naomba mnisaidie majina ya vyuo vinavyotoa diploma ya journalism hapa Tanzania coz kila niki-google nachemsha.
Mkinisaidia vilivyoko dar es salaam ntashukuru zaidi