Vyuo na hostels dar es salaam

Vyuo na hostels dar es salaam

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
442
Habari wakuu?
Nahitaji orodha ya vyuo ngazi ya cheti hadi degree pamoja na gharama za hostel kuzunguka au karibu na maeneo yafuatayo; kati ya Kibaha, mbezi ya kimara, Kimara, Ubungo, mbezi beach, Mwenge, Sinza, Tegeta, mbweni na Bunju. Tumia mfumo huu:

JINA LA CHUO HOSTEL KARIBU YAKE GHARAMA YA HOSTEL HOSTEL FACILITIES
1. ---------------- -------------------- ------------------ ------------------

Ahsanteni sana.
 
Kazi yako kubwa mno utatulipa? Acha uzembe wasiliana na watu kwa simu au njoo Dar
 
Habari wakuu?
Nahitaji orodha ya vyuo ngazi ya cheti hadi degree pamoja na gharama za hostel kuzunguka au karibu na maeneo yafuatayo; kati ya Kibaha, mbezi ya kimara, Kimara, Ubungo, mbezi beach, Mwenge, Sinza, Tegeta, mbweni na Bunju. Tumia mfumo huu:

JINA LA CHUO HOSTEL KARIBU YAKE GHARAMA YA HOSTEL HOSTEL FACILITIES
1. ---------------- -------------------- ------------------ ------------------

Ahsanteni sana.

UNATUAMRISHA AU!!! hovyoooo
 
Unataka vyuo gani,yaani,vinavyofundisha nini? Unadhani tunaweza kuorodhesha vyote na hosteli zake kweli kama utakavyo? Be serious
 
Masomo yoyote i.e technical & academics, sihitaji kwa ajili ya kusoma mimi, nimesema vyuo vinavyotoa elimu ngazi ya cheti hadi degree na ndiyo sababu ya kuijumuisha UDSM. Karibu mkuu.

Hujajibu swali muhimu.Unataka chuo kinachofundisha nini? Au,unataka kusomea nini? Ngazi gani? Kwanini umeitaja UDSM Mkuu?
 
Back
Top Bottom