Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 442
Habari wakuu?
Nahitaji orodha ya vyuo ngazi ya cheti hadi degree pamoja na gharama za hostel kuzunguka au karibu na maeneo yafuatayo; kati ya Kibaha, mbezi ya kimara, Kimara, Ubungo, mbezi beach, Mwenge, Sinza, Tegeta, mbweni na Bunju. Tumia mfumo huu:
JINA LA CHUO HOSTEL KARIBU YAKE GHARAMA YA HOSTEL HOSTEL FACILITIES
1. ---------------- -------------------- ------------------ ------------------
Ahsanteni sana.
UNATUAMRISHA AU!!! hovyoooo
Kazi yako kubwa mno utatulipa? Acha uzembe wasiliana na watu kwa simu au njoo Dar
Mkuu, kwa kulipwa ungehitaji bei gani ufanye hiyo kazi?
Unataka vyuo gani,yaani,vinavyofundisha nini? Unadhani tunaweza kuorodhesha vyote na hosteli zake kweli kama utakavyo? Be serious
Hujajibu swali muhimu.Unataka chuo kinachofundisha nini? Au,unataka kusomea nini? Ngazi gani? Kwanini umeitaja UDSM Mkuu?Mkuu, kuanzia cerificate hadi degree hivyo hata UDSM ndani. Siyo lazima vyote mkuu.
Mabibo hostel
Hujajibu swali muhimu.Unataka chuo kinachofundisha nini? Au,unataka kusomea nini? Ngazi gani? Kwanini umeitaja UDSM Mkuu?