Vyuo tz

Adjutis Junior

Senior Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
118
Reaction score
23
Habari wanaJF
.
Nilikuwa naomba kuuliza eti
Chuo kikiwa ownership ni private kwa maana cha private lakn kimesajiliwa na NACTE,
.
Je, selikali ikitangazaa ajira kutoka katika vyuo, wanakuwa wanawahusisha na wanafunzi wa hvy vya prvte
Kwa maan je wa private katika kutangazwa ajiri nawo watakuwepo na kuajiriwa na selikari

Ahsantenii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…