Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc.
Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc.
Nakushauri uapply ujerumani vyuo vingi ada hadi laki nane ya kitanzania kwa mwaka. Ugumu unakuja kwenye kupata Visa kama unataka kuanza chuo moja kwa moja inabidi uandae hela ya kujikimu ya mwaka mzima. Approach ambayo inaweza kuwa rahisi ni kusomea lugha then Uka apply Au-pair kwa mwaka mmoja then u-apply chuo ukiwa huko.