vyuo vikuu kuboreshwa.......

vyuo vikuu kuboreshwa.......

Udt Sangatit

Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
53
Reaction score
9
Hivi tumetembea kuona hali ya vio vikuu vya Tanzania jinsi vilivyo???? :nono:
 
Hivi tumetembea kuona hali ya vio vikuu vya Tanzania jinsi vilivyo???? :nono:

Nilifikiri unatujulisha kuwa vyuo vikuu vitaboreshwa. Heading ni tofauti na content. Kwani vyuo vikuu vyetu vikoje na kwanini unatuuliza kama tumevitembelea? Vyuo vikuu vya Tanzania ni vingi (takribani 43), kwa hiyo vinatofautiana katika aspects nyingi. Sasa eleza vizuri thread yako ina maana gani.
 
sasa kijana hujaeleweka unasema nini....maana head na vilivyo ndani ni tofauti....au ndo ulikua unajifunza kupost uzi!!!!??
 
ndio kaka, nilikuwa najaribu kurusha uzi nijue jinsi inavyokuwa na ndyo maana nimeandika kwa ufupi sana.
kweli vyuo vikuu viko vingi sana na kila chuo kipo na kipaumbele na kauli mbiu yake. swali langu linakwenda hivi, kwa hivi vyuo vya serikali ni nani muhusika ana:A S embarassed:yepaswa kusimamia miundo mbinu na maboresho pamoja na kujipanua kwa chuo husika na hio ikiendana na kiwango cha huduma ya elimu inayotolewa??!!!
 
Mr. Ivuga? sijakupata unaongelea chuo gan kikuu Morogoro maana pale mie nafahamu kuna vyuo vikuu viwili? hasa mi nalenga vile vya serikali?
 
Back
Top Bottom