ndio kaka, nilikuwa najaribu kurusha uzi nijue jinsi inavyokuwa na ndyo maana nimeandika kwa ufupi sana.
kweli vyuo vikuu viko vingi sana na kila chuo kipo na kipaumbele na kauli mbiu yake. swali langu linakwenda hivi, kwa hivi vyuo vya serikali ni nani muhusika ana:A S embarassed:yepaswa kusimamia miundo mbinu na maboresho pamoja na kujipanua kwa chuo husika na hio ikiendana na kiwango cha huduma ya elimu inayotolewa??!!!