Vyuo vikuu mnatia aibu kwani mnaonyesha mlivyo mbumbumbu kwa hili

Vyuo vikuu mnatia aibu kwani mnaonyesha mlivyo mbumbumbu kwa hili

Danniair

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
360
Reaction score
66
Nasikitishwa sana na baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini, kwani ili mwanafunzi ayaone matokeao yake ya mitihani inampasa afunge safari toka hukoooo aliko hadi kwenye notice-board ya chuo. La ajabu vyuo hivyo vina Vitivo vya kompyuta au walimu wa komputa lakini hawana ujuzi wa kuweka matangazo ya matokeo ya mitihani yao ktk Tovuti zao!!!!!

Pia tovuti zao haziko 'Up-to-date'.
 
Sitaki kuamini km kuna CHUO KIKUU hadi leo kinatoa matokeo MANUAL.
 
Muhimbili walikua na tabia hyo,ila cjui ka wamebadili utaratibu wao.
 
Nasikitishwa sana na baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini, kwani ili mwanafunzi ayaone matokeao yake ya mitihani inampasa afunge safari toka hukoooo aliko hadi kwenye notice-board ya chuo. La ajabu vyuo hivyo vina Vitivo vya kompyuta au walimu wa komputa lakini hawana ujuzi wa kuweka matangazo ya matokeo ya mitihani yao ktk Tovuti zao!!!!!

Pia tovuti zao haziko 'Up-to-date'.

Mzumbe tunapata tokeo letu online, full privacy
 
mimi nafahamu ****** huo unafanyika katika taasisi hizi: Mzumbe University(Dar es Saalaam Campus College) na Tumaini Dar es Salaam University College(TUDARCO) hasa wale wa sheria wanaosomea Kurasini,
 
Ninavojua mie udom, udsm, saut, mzumbe, sua n.k n.k WANA2MIA COMPUTERIZED SYSTEM results,news n smtz hata online regstration!hvo vyuo vkuu gan vna2mia MANU?
 
Mzumbe tunapata tokeo letu online, full privacy

Aah Wapi,
Kama jana watu wanaingia kwenye Pepa ya mwisho ya Marketing ndio wanashtukizana na Coursework za Strategic Management kwenye Notice Board za madarasa ya Kukodi ya Msimbazi!!!
Zipo ambazo tunazipataga online but sio kwa Standard ya MU
 
huo ni uzembe unaofanywa na wakuu wa vitengo kwa baadhi ya vyuo, lkn kwa asilimia kubwa Vyuo Vikuu na Taasisi zote za Elimu ya juu matokeo yanapatikana kupitia Online(mtandao).
 
huo ni uzembe unaofanywa na wakuu wa vitengo kwa baadhi ya vyuo, lkn kwa asilimia kubwa Vyuo Vikuu na Taasisi zote za Elimu ya juu matokeo yanapatikana kupitia Online(mtandao).
hata ustawi tunapata online atii
 
UDSM wenyewe hata ukiingia website yao hata sasa haifunguki!! Kwishney.
 
Back
Top Bottom