kwa mfano chuo gani? hcho siyo chuo kikuu, labda cha kaya.
we kichaa nn, wewe si ndiye uliyetoa hoja af unataka mm nitaje....kafie mbele, huna hoja.usiulize bali sema chuo hiki kinafanya hivyo
usiulize bali sema chuo hiki kinafanya hivyo
Nasikitishwa sana na baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini, kwani ili mwanafunzi ayaone matokeao yake ya mitihani inampasa afunge safari toka hukoooo aliko hadi kwenye notice-board ya chuo. La ajabu vyuo hivyo vina Vitivo vya kompyuta au walimu wa komputa lakini hawana ujuzi wa kuweka matangazo ya matokeo ya mitihani yao ktk Tovuti zao!!!!!
Pia tovuti zao haziko 'Up-to-date'.
Sitaki kuamini km kuna CHUO KIKUU hadi leo kinatoa matokeo MANUAL.
Mzumbe tunapata tokeo letu online, full privacy
hata ustawi tunapata online atiihuo ni uzembe unaofanywa na wakuu wa vitengo kwa baadhi ya vyuo, lkn kwa asilimia kubwa Vyuo Vikuu na Taasisi zote za Elimu ya juu matokeo yanapatikana kupitia Online(mtandao).
Chuo kikuu cha Ushirika na Study za Biashara (MUCCoBS)ndiyo wataalam wa manual Tz nzima na dunia kwa ujumla.