Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Nasikitishwa sana na baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini, kwani ili mwanafunzi ayaone matokeao yake ya mitihani inampasa afunge safari toka hukoooo aliko hadi kwenye notice-board ya chuo. La ajabu vyuo hivyo vina Vitivo vya kompyuta au walimu wa komputa lakini hawana ujuzi wa kuweka matangazo ya matokeo ya mitihani yao ktk Tovuti zao!!!!!
Pia tovuti zao haziko 'Up-to-date'.
1. MUMwewe umekurupuka tu! taja hivyo vyuo!
IAA arusha,nao ni manual.alafu eti wanafundisha IT
Mhhhh, hiki kitengo cha UCC hapa UD kinaaibisha hadhi ya chuo. Ni aibu tena si kidogo.UDSM wenyewe hata ukiingia website yao hata sasa haifunguki!! Kwishney.
Nasikitishwa sana na baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini, kwani ili mwanafunzi ayaone matokeao yake ya mitihani inampasa afunge safari toka hukoooo aliko hadi kwenye notice-board ya chuo. La ajabu vyuo hivyo vina Vitivo vya kompyuta au walimu wa komputa lakini hawana ujuzi wa kuweka matangazo ya matokeo ya mitihani yao ktk Tovuti zao!!!!!
Pia tovuti zao haziko 'Up-to-date'.
Hata vyuo vya kata wanatazama matokeo yao kwenye mtandao vitakuwa vyuo vya hotel management na utaliiNasikitishwa sana na baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini, kwani ili mwanafunzi ayaone matokeao yake ya mitihani inampasa afunge safari toka hukoooo aliko hadi kwenye notice-board ya chuo. La ajabu vyuo hivyo vina Vitivo vya kompyuta au walimu wa komputa lakini hawana ujuzi wa kuweka matangazo ya matokeo ya mitihani yao ktk Tovuti zao!!!!!Pia tovuti zao haziko 'Up-to-date'.
Acha unafiki mkuuu, huu ni mtandao wa watu wasiokuwa na majungu!!! wewe kuwa muwazi kuwa ni CHUO CHA SUA!!!!
1. MUM
2. Madrassa zote nchini