Wakuu naomba kufahamishwa wapi nitapata data kuhusu idadi ya vyuo vikuu vilivyopo nchini na ada zake. Vilevile kama kuna mwenye data hizo naomba anipatie.
Naomba pia kujua ada za shule za msingi (shule za serikali) na za sekondari.
Natanguliza shukrani.