hasa mlioko mavyuoni, tunaomba mtusaidie,
Sio kweli,kwa mfano chuo ka ud,form one mnatakiwa kureport chuo kuanzia tarehe 21/sept/2013.over
Sio kweli,kwa mfano chuo ka ud,form one mnatakiwa kureport chuo kuanzia tarehe 21/sept/2013.over
Duuh kama hii itakua kweli nawaonea huruma hao ma lecturers na ma TA...maaana watakua watafundisha mpaka wachoke..january continueing students wanakua wanakaribia kupiga piga test nyingi na wengine ndo wanaanza daaahh..!!!Kuna rummours kuwa vyuo na taasisi za elimu ya juu huenda vikafunguliwa mwezi wa kwanza 2014.
Anayejua anijuze