hakuna kitu kama hicho....chuo kikuu siyo sawa prrimary school jamn, halafu huyo anaye anzisha rumous kama hiz nan? coz i dont think kama mind yake in function well...may b he/she needs some consultation by a medical pple...chuo ni mwez sept kama kawa...acha upuuz kabisa hapa