Vyuo vikuu vitano bora katika nyanja ya uhasibu nchini tanzania kulingana na vigezo vya NBAA.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
1.UDSM
2.IFM
3.TIA
4.IAA
5.MZUMBE
Ila msisahau Udom nayo inakuja kwa kasi sana,kwa baadhi ya wahitimu wake kuanza kufanya vizuri katika mitihani ya nbaa.
 
​first year..student ..post utamjua tuu......ila ukimaliza shule kipindi upoo kitaa unatafuta job ndo utaelewa walioko makazini utaelewa wametoka chuo....gani ya hivooo.....
 
Wewe ulimaliza udsm ukasota mtaani...???
 
hakunaga kama IFM kwa uhasibu,east and central africa centre of excellency
 
FIRST YEAR utamjua tu. Hapo ujue anajipa matumaini kwamba hajakosea uchaguzi wa chuo na kozi.
 
1.UDSM
2.IFM
3.TIA
4.IAA
5.MZUMBE
Ila msisahau Udom nayo inakuja kwa kasi sana,kwa baadhi ya wahitimu wake kuanza kufanya vizuri katika mitihani ya nbaa.

oya source please, usikurupuke!
 
1.UDSM
2.IFM
3.TIA
4.IAA
5.MZUMBE
Ila msisahau Udom nayo inakuja kwa kasi sana,kwa baadhi ya wahitimu wake kuanza kufanya vizuri katika mitihani ya nbaa.

Soma na uwe muadilifu kazini, hiyo yatosha. No best University in TZ.
 
Ifm,tia na iaa ni vyuo vikuu au unatumia ma------ style? π
 
Back
Top Bottom