Kuna mjadala mkali sana umekuwa ukiendelea kuhusu elimu ya juu nchini kuwa shahada ya kwanza ya vyuo fulani ni ya maana kuliko shahada ya chuo kingine hili siwezi kupingana nalo kwani linahitaji utashi pia lakini sio kuita vyuo fulani ni vya kata
ila ninaloweza kuweka byana siku ya leo ni kuwa utashi wa waajili hasa hr,s yaani humani resources manager wana value aina fulani ya degree kutokana na ukongwe wa chuo katika kozi fulani mifano yangu itakuwa kama ifuatavyo ukiondoa kozi za education
tukianzia serikalini
diploma ya uongozi wa mahakama na sheria ya chuo cha ija -lushoto ina thamani kuliko degree ya sheria ya chuo kikuu chochote hapa tz
degree ya uongozi yaani public administration ya mzumbe ina thamani kuliko degree ya chuo kikuu chochote hapa tz
degree za kilimo au mifugo za sua zinadhamani kuliko za chuo chochote hapa tz
degree ya community development ya cdti - tengeru ina thaman kuliko degree ya aina hyo katoka chuo chochote hapa tz
dgree ya jounalism au public relation ya saut ina thamani kuliko ya chuo chochote tz
degree za kozi zote za engineering za dit na st joseph udsm ndo zenye thamani kuliko zingine
degree ya kiswahili political science mathematics history kingereza ndo zenye thamani ktk soko laajira kuliko zingine
kwa upande wa sekta binafsi
hakuna chuo cha kata tanzania ila waajiri wanaaangalia course content yako na pia wanaangalia kama chuo kina fundisha kitu kinaitwa compitence based education au kama la wanapima competence ya mtu katika nafasi husika na hasa waajiri wengi wanapenda kuangalia kama anaweza kukupa nafasi zaidi ya moja ili kuminimize cost yaan mf. Umesomea public relation and marketing hivyo anaweza akakupa nafas ya pr officer au at the same time ukawa marketing manager ndo maana yvuo ving sasa hivi vinajitahidi kuunganisha kozi yaani yaan kozi inakuwa na mtoto i mean mambo mawili yawe kitu kimoja mfano bachelor of education haina thaman sana kama haina mtoto ndo maana unakuta wanafanya ba with bs with nk bachelor of political science with public relation nk kwa hiyo someni vijana mambo ya kutishiana vyuo hyana maana kwani kila chuo kina thamani yake katika kozi fulani na si zote na pia katika suala la ajira hasa za serikali hawazanii sana kozi za vyuo vikuu wanapenda kuajiri watu kutoka katika institute zao na sio ovyo ovyo tu mf hata wakitangaza nafasi fulani utakuta wanaandika uwe una shahada au stashahada kutoka chuo fulani au kingine kinachotambuliwa na serikali mf uwe na shahada ya maendeleo ya jamii kutoka chuo cha maendeleo ya jamii tengeru au kingine kinachotambuliwa na serikali ni hayo tu wapendw leo nilitaka kuwaeleimisha tusome tujenge nchi yetu asante