Vyuo vikuu vya Tanzania vyatia aibu

Vyuo vikuu vya Tanzania vyatia aibu

Ptz

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
541
Reaction score
385
Heshima yenu wakuu!

Leo hapa Dar es Saalam katika chuo kikuu cha Dar es Saalm sehemu ya Mlimani kumezinduliwa rasmi mashindano ya vyuo vikuu vya Afrika Mashariki vikijumuisha Tanazania, Uganda na Kenya, cha kushangaza Tanzania kama wenyeji ni vyuo vikuu sita ndo vimeshiriki vikiwepo DUCE, Mkwawa, Tumaini Iringa, SUZA. Mount Meru na Ardhi wakati Kenya wameleta vyuo 17, na Uganda pia vyuo 17. Nimefanikiwa kungalia mechi ya ufunguzi ya soka iliyofanyika Mabibo Hostel kati ya Chuo cha Zanzibar na Kyambogo Uganda Zanzibar wamepigwa goli nne kwa mbili, na Mechi ya pili ilikuwa kati ya Tumaini ya Iringana Makerere Uganda Tumaini wamepigwa goli mbili kwa sifuri. Mashindano haya yamefunguliwa na Waziri wa michezo Dr Fenera main Campus, pamoja na hayo kumethibitika kuwa na maandalizi mabovu.
 
Heshima yenu wakuu!

Leo hapa Dar es Saalam katika chuo kikuu cha Dar es Saalm sehemu ya Mlimani kumezinduliwa rasmi mashindano ya vyuo vikuu vya Afrika Mashariki vikijumuisha Tanazania, Uganda na Kenya, cha kushangaza Tanzania kama wenyeji ni vyuo vikuu sita ndo vimeshiriki vikiwepo DUCE, Mkwawa, Tumaini Iringa, SUZA. Mount Meru na Ardhi wakati Kenya wameleta vyuo 17, na Uganda pia vyuo 17. Nimefanikiwa kungalia mechi ya ufunguzi ya soka iliyofanyika Mabibo Hostel
kati ya Chuo cha Zanzibar na Kyambogo Uganda Zanzibar wamepigwa goli nne kwa mbili, na Mechi ya pili ilikuwa kati ya Tumaini ya Iringana Makerere Uganda Tumaini wamepigwa goli mbili kwa sifuri. Mashindano haya yamefunguliwa na Waziri wa michezo Dr Fenera main Campus, pamoja na hayo kumethibitika kuwa na maandalizi mabovu.

vyuo vikuu vya bongo wanachuo wake wako bize sana!!!!
 
Maandalizi yalikuwa si mazuri

Pamoja na hayo wanavyuo wa bongo ni vibonde kwenye michezo mingi.

So ukiona huwezi bora ukae pembeni mapema.
 
vyuo vikuu vya bongo wanachuo wake wako bize sana!!!!

busy na kufanya ngono. Hamna la maana linalofanyika vyuoni siku hizi zaidi ya kupiga mbunye. Hivi mkusanyiko wa all tanganyikans mnashindwa kuwa na maandalizi ya michezo? Mlikuwa hamjui?
 
busy na kufanya ngono. Hamna la maana linalofanyika vyuoni siku hizi zaidi ya kupiga mbunye. Hivi mkusanyiko wa all tanganyikans mnashindwa kuwa na maandalizi ya michezo? Mlikuwa hamjui?

kumbe unaelewa sababu za kuwa busy, mkopo hamna dada zetu wataishije ? tumbo kwanza vingine baadae!!
 
kwani hapo aibu iko wapi,uliambiwa vyuo vikuu wanaenda kufundishwa mpira?watu wako busy na kitabu.
 
kwani hapo aibu iko wapi,uliambiwa vyuo vikuu wanaenda kufundishwa mpira?watu wako busy na kitabu.
Wako busy na kitabu gani akati hata nchi haina mitaala, au wanadesa tu? magraduate wenyewe ndo hao mafisadi walioifikisha taifa katika umasikini, zaidi wameshiriki kuiuza nchi kwa kusaini mikataba feki, hembu angalia hali tu ya uchumi kwa kulinganisha na Uganda na Kenya tuko nyuma sana, sasa kati ya vyuo vikuu vya Tanzania na vile vya Kenya na Uganda ni wepi wako busy kwa tija? michezo ni sehemu ya masomo. Huna hoja. Naweza kukubalia ukisema wako busy na Ngono.
 
Kama vyuo havijapewa mwaliko vitahudhuriaje!!!? Haya mambo yana protocol hata kama jirani ana sherehe kama hujaalikwa tulia kwako, sasa kama wao wamealika wakenya na waganda na wakati invitations kwa vyuo vya bongo ni hafifu unategemea nini, kama IFM, CBE na Tumaini ya Dar (TUDARco) vyote vipo Dar na hawajapeleka wawakilishi itabidi ujiulize tatzo lipo kwa nani coz kwa vyovyote kama wangealikwa wawakilishi wangepatikana tena Gharama za kuwapeleka zingekuwa ndogo sana ingawa hata vyuo vya mikoani pia Mzumbe,SUA,UDOM n.k wangeleta wawakilishi kama wangepata invitation regardless of distance coz kama wameweza kutoka Uganda na Kenya why not wa hapahapa Tanzania, AIBU YAO WAANDAAJI na wabongo tuache kujidiss wenyewe as if we r the inferior beings in East Africa, ukiona jambo limetokea get to itz roots cyo kuanza ooh waTanzania this waTanzania that, Watanzania ni makini just like others itz just that at times washika dau wachache wana-tu-let down!
 
Ni jambo la aibu sana.
na kwanini vyuo vya Tanzania vimekuwa vichache na wao ndio wenyeji? au kulikuwa na vigezo gan!
ktk orodha hiyo sijaona hata chuo kimoja cha mkoani DODOMA. na kwanini UDSM wapeleke vyuo vyote wengine wakose!
sina majibu kwa haya maswali na mishangao hii
 
kwanin hvyo vyuo wasingefanya hat kuomb wachez vyuo vingne lait wanajijua hawawez?@Wangechukua hat wachezaj 4rm UDOM na SAUT naamin wangefanikiwa
 
vyuo vikuu vya bongo wanachuo wake wako bize sana!!!!

Unanikumbusha Mkuu wangu wa chuo enzi hizo, mimi nilikuwa mwanamichezo bora kabisa kipindi hicho katka fani yangu....
Alinifuata siku nimetoka kufanya mazoezi na kukusanya watu wengi mno wakishanga uwezo wangu....! sitakaa nimsahau..!!
Nilidhani kaja kunipongeza.....akanisogelea na kuniambia..kijana kuwa mwangafu na upuuzi huu unaofanya hapa..hapa chuoni kimekuleta kusoma tu, utajuta!! niliacha kabisa micheza hadi leo....lkini sasa najuta kumskiliza!!
 
mimi hii taarifa ndio kwanza naiona mda huu!!!! tusipende sana kulaum....kuna kitu kinaitwa ratiba....leo hapa chuo mpaka leo hatujafunga alafu umwambie mtu sijiui udsm kuna mashindano nani atakuelewa akati SP,UE vyote vinakungojea.....vyuo kama SUA,mzumbe vyote vipo kwenye UE.....SASA unatarajia nini?? pia waandaaji naweza sema pia kwa nafasi yao hawakuweza mudu mchakato mzima,ila waliopewa nafasi wakatuwakilishe vyema na tunawatakia mafanikio pia!!!
 
Back
Top Bottom