Vyuo vimezidi huku Mtaani

Vyuo vimezidi huku Mtaani

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Hivi jamani wadau nchi yetu ina vyuo vikuu vingapi????maana huku mtaani kuna vyuo ambavyo sijui kama serikali inajua kama ni vyuo vyake..........tuseme ni maendeleo katika elimu au vipi?maoni yenu wadau
 
naona unaucngz ww!,
iv nan anakujua mtaani kwako ili ajue hcho chuo??
ww unatakiwa utaje chuo kama unamashaka nacho watu walete ushahid/proof za chuo hcho..
 
mtaani kwenu kuna vyuo vingapi kwani mpaka unashituka? navyojua mimi bado vyuo havitoshi na zinahitajika juhudi kubwa kuondoa tatizo
 
Tunaangalia statistics za enrollment, graduates na number of schools/colleges/universities
masuala ya quality education tunawaachia wazungu
This is how our education is managed
 
naona unaucngz ww!,
iv nan anakujua mtaani kwako ili ajue hcho chuo??
ww unatakiwa utaje chuo kama unamashaka nacho watu walete ushahid/proof za chuo hcho..

Universities or "chuo" kile cha kule ahera
 
Hivi jamani wadau nchi yetu ina vyuo vikuu vingapi????maana huku mtaani kuna vyuo ambavyo sijui kama serikali inajua kama ni vyuo vyake..........tuseme ni maendeleo katika elimu au vipi?maoni yenu wadau
nina mashaka na uelewa wako wa mambo ni mtaa gani unaishi kuna vyuo vikuu vingi zaidi ya unavyovitaja..........embu ingia hapa kidogo http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...GppCMuW87SchuVhFiu-kftA&bvm=bv.62788935,d.ZGU au ingia hata hapa may be unahitaji mifano mingi http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...iGx8fCPdjWzGs-UCFodNe5w&bvm=bv.62788935,d.ZGU
 
mani kuna watu kweli hawaelewi kiswahili kwani hamjui kama kuna vyuo humu mitaani??????muwe mnawaza nyie mbona wengine wanaelewa kinACHOMAANISHWA
 
Hivi jamani wadau nchi yetu ina vyuo vikuu vingapi????maana huku mtaani kuna vyuo ambavyo sijui kama serikali inajua kama ni vyuo vyake..........tuseme ni maendeleo katika elimu au vipi?maoni yenu wadau

Tanzania vyuo vikuu ni
ardhi university
sua
udsm
mzumbe
muhas
udom
dit
must .......!!
 
Back
Top Bottom