Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
mtaani kwenu kuna vyuo vingapi kwani mpaka unashituka? navyojua mimi bado vyuo havitoshi na zinahitajika juhudi kubwa kuondoa tatizoHivi jamani wadau nchi yetu ina vyuo vikuu vingapi????maana huku mtaani kuna vyuo ambavyo sijui kama serikali inajua kama ni vyuo vyake..........tuseme ni maendeleo katika elimu au vipi?maoni yenu wadau
naona unaucngz ww!,
iv nan anakujua mtaani kwako ili ajue hcho chuo??
ww unatakiwa utaje chuo kama unamashaka nacho watu walete ushahid/proof za chuo hcho..
nina mashaka na uelewa wako wa mambo ni mtaa gani unaishi kuna vyuo vikuu vingi zaidi ya unavyovitaja..........embu ingia hapa kidogo http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...GppCMuW87SchuVhFiu-kftA&bvm=bv.62788935,d.ZGU au ingia hata hapa may be unahitaji mifano mingi http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...iGx8fCPdjWzGs-UCFodNe5w&bvm=bv.62788935,d.ZGUHivi jamani wadau nchi yetu ina vyuo vikuu vingapi????maana huku mtaani kuna vyuo ambavyo sijui kama serikali inajua kama ni vyuo vyake..........tuseme ni maendeleo katika elimu au vipi?maoni yenu wadau
Hivi jamani wadau nchi yetu ina vyuo vikuu vingapi????maana huku mtaani kuna vyuo ambavyo sijui kama serikali inajua kama ni vyuo vyake..........tuseme ni maendeleo katika elimu au vipi?maoni yenu wadau
Tanzania vyuo vikuu ni
ardhi university
sua
udsm
mzumbe
muhas
udom
dit
must .......!!
Tujuzeni na wa vijijini jamani. DIT na MUST navyo ni vyuo vikuu siku hizi?