Wadau naomba msaada wenu wa vyuo vinavyotoa Advance Diploma katika taaluma yoyote ambavyo vimesajiliwa na NACTE na muda wa kozi wanazotoa. Nitafurahi kama mtanitajia vilivyo katika mkoa wa Dsm
Mdau kama sijakosea kwa sasa hakuna vyuo vinavyotoa Advanced Diploma,badala yake vinatoka Bachelor Degree. Advanced Diploma ziliacha kutolewa mwaka 2008/2009. Iliyobaki ni Ordinary Diploma ambazo hutolewa kuanzia miaka miwili inategemea na kozi kama sijakosea. Wadau wengine watakuja kuongezea zaidi.
Muhimbili ipo Advance diploma ya DERMATOVENEREOLOGY, PAMOJA NA MEDICAL LABORATORY SCIENCES zote hizo ni miaka miwili, pia kozi hizo SIO Kwa direct Entry!!