GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Habari wanaJF
Nilikuwa napitia kitabu cha TCU cha "Postgraduate Guidebook", Nikaona kuna baadhi ya vyuo kama CBE, TIA, IIA n.k ambavyo ni vya serikali na vinatoa hadi elimu ngazi ya Masters lakini kwenye kitabu hicho.
Hii inamaanisha hizo kozi hazitambuliki na TCU? Au TCU wamevisahau ku-update au shida ni nini? tusije kwenda tukaambiwa tumepoteza muda bure. Naomba kama kuna mhusika afikishe hili jambo mahali husika.
Nimeambatanisha guide book for reference.