wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
System ya elimu ya hapa Tz inafanana karibu vyote Tanzania
Jambo la kushangaza, Linapokuja suala la ajira hali ni tofauti kabisa,
Kuna chuo flani kimejaza nyomi ya wahitimu maofisini nadhani wote mnakijua, ni chuo mhitimu ana chance kubwa wa kuajiriwa (sijasema wote wanaajiriwa).
Vyuo vinavyofuatia vimo vimo kwa wastani ila sio sana (Mzumbe, Udom, DIT, MUST, IFM, TIA, n,k)
Halafu kuna vyuo kama Cbe, utumishi ni nadra kukuta uwepo wao maofisni, (wapo lakini ni nadra)
hali ni mbaya zaidi kwa vyuo vya private kama Tumaini, Teku, n.k.
- Lecturers wengi wa vyuo vya Tanzania ni wahitimu UDSM
- Walimu wengi hawaandai notes zao, wanatumia notes za mitandaoni kufundishia darasani.
- Wanafunzi wengi wanasoma kwa kukariri sana kwasababu lugha ni changamoto