Vyuo vingine Tanzania havina wasomi na Maprofesa?

Vyuo vingine Tanzania havina wasomi na Maprofesa?

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Hivi hapa Tanzania, vyuo vingine havinaga wasomi na maprofesa , maana kila teuzi ni wasomi na maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Nyie vyuo vingine serikali wasomi wenu vipi?
 
Hivi hapa Tanzania, vyuo vingine havinaga wasomi na maprofesa , maana kila teuzi ni wasomi na maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Nyie vyuo vingine serikali wasomi wenu vipi......
Professor Asad anatoka Muslim University
 
Hivyo vingine sio vyuo vikuu, ni High School zilizochangamka
 
Angalia Rika la hao wateule,halafu jiulize kipindi wanasoma palikua na chuo kikui gani kingine?..elimu ilifanywa nyumba ya Mungu,chuo kikuu kimoja,sekondari chache ukifaulu wilaya nzima itajua,ili kudhibiti watu na kujenga mifumo
 
Back
Top Bottom