A Annunaki JF-Expert Member Joined Dec 30, 2021 Posts 2,042 Reaction score 3,674 Jul 31, 2024 #1 Hivi hapa Tanzania, vyuo vingine havinaga wasomi na maprofesa , maana kila teuzi ni wasomi na maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Nyie vyuo vingine serikali wasomi wenu vipi?
Hivi hapa Tanzania, vyuo vingine havinaga wasomi na maprofesa , maana kila teuzi ni wasomi na maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Nyie vyuo vingine serikali wasomi wenu vipi?
M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 6,846 Reaction score 10,288 Jul 31, 2024 #2 Annunaki said: Hivi hapa Tanzania, vyuo vingine havinaga wasomi na maprofesa , maana kila teuzi ni wasomi na maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Nyie vyuo vingine serikali wasomi wenu vipi...... Click to expand... Professor Asad anatoka Muslim University
Annunaki said: Hivi hapa Tanzania, vyuo vingine havinaga wasomi na maprofesa , maana kila teuzi ni wasomi na maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Nyie vyuo vingine serikali wasomi wenu vipi...... Click to expand... Professor Asad anatoka Muslim University
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jul 31, 2024 #3 Hivyo vingine sio vyuo vikuu, ni High School zilizochangamka
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jul 31, 2024 #4 Malaria 2 said: Professor Asad anatoka Muslim University Click to expand... Alikuwa kitivo cha Biashara pale UDSM, hiyo ndio asili yake
Malaria 2 said: Professor Asad anatoka Muslim University Click to expand... Alikuwa kitivo cha Biashara pale UDSM, hiyo ndio asili yake
A Annunaki JF-Expert Member Joined Dec 30, 2021 Posts 2,042 Reaction score 3,674 Jul 31, 2024 Thread starter #5 Malaria 2 said: Professor Asad anatoka Muslim University Click to expand... Fuatilia vizuri
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Jul 31, 2024 #6 Angalia Rika la hao wateule,halafu jiulize kipindi wanasoma palikua na chuo kikui gani kingine?..elimu ilifanywa nyumba ya Mungu,chuo kikuu kimoja,sekondari chache ukifaulu wilaya nzima itajua,ili kudhibiti watu na kujenga mifumo
Angalia Rika la hao wateule,halafu jiulize kipindi wanasoma palikua na chuo kikui gani kingine?..elimu ilifanywa nyumba ya Mungu,chuo kikuu kimoja,sekondari chache ukifaulu wilaya nzima itajua,ili kudhibiti watu na kujenga mifumo