Vyuo vipi bora vya serikali kwa kusomea Diploma ya Clinical Medicine?

Vyuo vipi bora vya serikali kwa kusomea Diploma ya Clinical Medicine?

Kyabashasa

Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
10
Reaction score
4
Naomba kujua ni vyuo vipi bora vya serikali kwa kusoma diploma ya clinical medicine?
 
Inategemea na ufaulu wako upper class au lower class mfano kuna muhimbili, lughalo, kibahaa, mtwara cotc...
 
Back
Top Bottom