vyuo vitano bora vilivyootoa watu mashuhuri na viongozi tanzaniaa

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
hivi ni vyuo gani hapa nchini ambavyoo vimetoa watu maarufu,mashuhuli na viongozi wengi serikalini ninavyovifahamu....mimi ni

UDSM......prof.ibrahim lipumba.............................world economist....advisor and chairman of civic united front
UDSM.......mizengo pinda kayanza pinda.............prime minister of tanzania
D.I.T ........profesa....mbalawa makame.................minister of science and technology
D.I.T........dk.shukuru kawambwa.........................minister of education
UDSM.......maalim seif............................................depurty president of zanzibar
D.I.T..........engineer stella manyanya................. DEPURTY MINISTER
D.S.J...............SAM MAHELA..........................I.T.V JOURNALIST


SASA BAADA YA HAPO UNAWEZA KUENDELEA......KUJAZIA JAZIA
 

Kawambwa katokea DIT? na Kikwete?
 
umesema viko vi tano mbona ni vinne?? nyie ndo wale wale tu!!!!
 
Sema engineer,kuna mtu yupo mabibo jeshini anataka kujengewa banda la njiwa,vipi upo poa nikupe mawasiliano yake upige kazi,
..
ndugu yangu acha kunifanyia hivyo embu nipe hiyo tenda fasta. Banda la njiwa, la kuku, la siri au mitego ya panya hapana shida yoyote lakini katahadhari kadogo haki Za Wanyama mkuu lazima ziangaliwe, huko makambi ya jeshini si ndo kila siku wanajinanihii mabomu, umesikia tangazo la wanaharakati wa haki Za Wanyama, wanasema mkijinanihii Na mabomu yenu hakikisheni yanawakarabati Nyie wenyewe sio kudhuru wanyama..

Asa wewe wanipatendamie nijenge banda la kuwafungia hao ndege Na vipi mkijinaniliu Na mabomu si mtaua Na ndege wasio Na hatia.. Tangazo Hilo lilienda mbali Na kupiga marufuku ufugaji wa mifugo maeneo ya kambi zetu Tanzania ili kuwahifadhi.. Ntafutie tenda somewhere else but huko no
 

Kweli Tanzania mfumo Kristo kwa sana. Hawa walisomaje wakati kuna mfumo kristo hadi waliofeli darasana na kukosa elima wanaandamana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…