vyuo vitano bora vilivyootoa watu mashuhuri na viongozi tanzaniaa

Watu maarufu kwa lipi? Tz maarufu ni mmoja tu ambae ni J,k wa kwanza Nyerere,wengine woote ni mashuhuli lakini si maarufu,mf jk wa pili,lipumba,dr slaa nk ,umemutaja stella manyanya kwa lipi hapa bongo?!!!
 
Ni walewale mwalimu aliwataja kua mnataka elimu so kwa lengo la kuisaidia jamii bali kwa lengo la kujidai wewe ni special yaani msomi aka education for prestigious..
badilikeni....mtaliangamiza taifa kwa mawazo mgando ili hali mmetumia kodi zetu kuwasomesha( boom)
think positive and not as u think....
 
Mh. Mungai, Dr. Slaa sijui nao walisoma nini, maana Ponda amekuwa frame of reference kwako. Post vitu vya maana
 
Pathetic thread to discuss, kuna watu wanaboa kwa kweli khaaaaaaaa sijui umewaza nini
 
Nna mashaka na upeo wa kufikiri kama sio kutafakari mambo wa mtoa mada, asamehewe bure
 
naona akili yako inahitaji Programming
 
Hapo udsm umewaacha watu materia sana. Kuna kama wafuatao KIKWETE,KAWAMBWA, MDEE,MANGUFULI,MNYIKA,MWANDOSYA,MUHONGO,SLAA,ZITTO,MAGHEMBE,MEMBE,MAKAMBA,GHASIA,MBARAWA,MKANDALA,SILAA,.rècent data shows dat udsm mpaka sasa inaakiba ya maprofsa 873 whle madokt ni more than1641 hao niliotaja n sample 2. So u cant compare UDSM with any univsty in tz
 

Huyo Mhandisi Stella Manyanya zaidi ya kuwa Mbunge wa Viti maalum CCM na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, je Manyanya ni Naibu Waziri wa wapi!! Zimbabwe kwa Mulugo?
 
Senki yu very much IDM MZUMBE!!! Mulugo aka visiwa vya zimbabwe...??
 

Tunaomba ushahidi wa vidhibiti kuhusu hayo ya kuwa UDSM kuna wahadiri wa akiba hatutaki story za umbea humu na kuleta majivuno yasiyo na msingi
 
Hii ni Joke? Mtoa thread kuna Jukwaa la Utani hapa JF. Waweza kulitumia next time
 
jamaa sidhani kama ni mzima,he needs help. kama huyo manyanya kwako ni maarufu basi dunia nzima kwako ni maarufu
 
Umeona eeeh! inakusaidia nini vyuo kutoa watu mashuhuri wakati wewe mwenyewe umesoma katika chuo hicho kilichotoa watu mashuhuri lakini sio wewe? Post nyingine shida tupu. Umashuhuri wa Lipumba unakusaidia nini wewe? Sio lazima sana kuanzisha thread kama huna thread strong? Think twice
Kuna post ukishazisoma unatamani uhame JF .. Yaani Zinaboaaa..
 
Al Qaida Terrorism Academy =Ponda sheikh na ustadh Farida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…