Vyuo vya afya Tanzania na duniani

Vyuo vya afya Tanzania na duniani

Blackconnyx

Member
Joined
May 19, 2022
Posts
33
Reaction score
9
Jamani wakuu mnisaidie hapa tujulishane kuhusu vyuo vya afya vya jeshi vipoje make sivifaham kbc hata vipoje Kama Kuna mtu anauelewa atupe ma concept.
 
Jamani wakuu mnisaidie hapa tujulishane kuhusu vyuo vya afya vya jeshi vipoje make sivifaham kbc hata vipoje Kama Kuna mtu anauelewa atupe ma concept.
Ebu eleweka vzuri, umechaguliwa chuo cha jesh? Chuo lipi? Hapo itakua rahisi kuwapata wenzako waliowahi kupita katika njia hiyo wakakuongoza zaid.
 
Back
Top Bottom