Vyuo vya Afya vinaanza usaili lini?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Habari wakuu, naomba kufahamu nilini hasa registration zitaanza kwenye vyuo vya Afya hasa vile vinavyotoa fani ya ufamasia. Pia napenda kujua muhula mpya unaanza mwezi gani? Ahsanteni.
 
Habari wakuu, naomba kufahamu nilini hasa usaili utaanza kwenye vyuo vya Afya hasa vile vinavyotoa fani ya ufamasia. Pia napenda kujua muhula mpya unaanza mwezi gani? Ahsanteni.

Wametangaza nafasi gani mkuu hizo zinazofanyiwa usaili?
 
Usajili unaanza mwezi wa 4... Muhula mpya unaanza mwezi wa 8 au 7
 
Habari wakuu, naomba kufahamu nilini hasa registration zitaanza kwenye vyuo vya Afya hasa vile vinavyotoa fani ya ufamasia. Pia napenda kujua muhula mpya unaanza mwezi gani? Ahsanteni.

Mara Tu Vitakapomaliza Kujenga Incinerators Zao Ili Na Wao Wasije Kututupa Tena Maporini Mabwepande Kama Ndugu Zenu / Zao Wa IMTU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…