Vyuo vya afya vinavyotoa koz ya clinical medicine

Joined
Mar 6, 2014
Posts
22
Reaction score
0
Wadau tuxaidiane hapa,natafuta chuo cha private kinachotoa koz ya clinical medicine ambacho kitaanza masomo mwez wa april kwa ngaz ya certificate na diploma
 
hakuna college inayoanza masomo mda huo mdogo wang ktk afya u have to wait until july . kuna chuo knaitwa mvumi kpo dodoma
 
Wadau tuxaidiane hapa,natafuta chuo cha private kinachotoa koz ya clinical medicine ambacho kitaanza maxomo mwez wa april kwa ngaz ya certificate na diploma

Huo uandishi wenu hauleti ladha nzuri humu, maxomo ndiyo kitu gani?
 
kwanini nyinyi watoto wa siku hizi mnaharibu lugha? kwenye ''S'' mnaweka ''X'' ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…