Unachaguliwa kutoka wap na unakwenda certificate, Diploma, degree.? Kitengo gan, Nurse, Maabara, Daktar, Pharmacy? Utaratibu huo ulikuwepo lakin sina uhakika kwa sasa kwasababu wenye sifa na wanao2ma maombi ni wengi sana kuliko zamani ambapo vyuo vililazimika kuchagua kwa mara ya pili ili kuziba nafas. Labda kwa degree utaratibu huo unaweza ukawa bado upo, kumbuka sio lazima ufanyike kama idadi imetosheleza..!!