Vyuo vya afya!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Habari zenu wanaJF

Ningependa kufahamu au kupata taarifa kwa yule anayefahamu,.!!
Maombi yanayotumwa kupitia wizara ya afya kwa ajili ya kozi za afya na kuchaguliwa chini ya wizara ya afya. Je wizara inavyuo vingapi hapa nchini kwa ajili ya hizi kozi za cheti na diploma?

Kejeli na matusi hazina tija ndugu zangu!!

Nawasilisha,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…