Vyuo vya Kati visipandishwe kutoa Degree

Vyuo vya Kati visipandishwe kutoa Degree

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na wimbi la kupandisha Vyuo vingi kutoka hadhi ya kutoa cheti na Diploma hadi ngazi ya kutoa Degree.

Vijana wengi wa kidato cha nne na cha sita wakipikwa kwa Ngazi ya Diploma kwa miaka mitatu wanatoka wakiwa watendaji/ wazalishaji wazuri sana. Hiyo Ngazi ndiyo Engine ya maendeleo ya Nchi.

Kupanga ni kuchagua!
 
Vyuo siku hizi ni biashara ndio maana wanavipa hadhi. Elimu ishakua biashara competition ni ndogo sana ukilinganisha na miaka ya zamani
 
Kwahiyo kumbe tunaonekana wasimamizi badala ya wazarishaji! Mungu atatenda nasi tuajiriwe kabla vyuo havijapandishwa na kuongeza ushindani
 
Back
Top Bottom