Vyuo vya kilimo Mnatumia vigezo gani kuchagua wanafunzi?

KIEMBE

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
109
Reaction score
11
Jamani mimi binafsi sielewi nini hasa kigezo kinachotumika kuchagua wanafunzi wa kozi ya kilimo kwann nasema hivyo'
Kujiunga na Diploma ya kilimo:

Sifa:Uwe umefaulu masomo ya sayansi kwa alama D yaani chemistry,biology,physics.mathematics,geography na Agriculture kwa waliosoma.
Pili uwe umesoma Cheti cha kilimo NTA level 5.

Sasa kuna jamaa mmoja analalamika hapa anasema ana ufaulu wa Dvision three ya chemia-B, Biology-c, Physics-D, Geography D, Mathe-D Hakusoma agriculture o-level English-C na masomo yaliyo baki ana D tupu na alisoma cheti kilimo ana First class ya 3.7 kaomba Diploma mwaka huu karibia vyuo vinne lakini hajachaguliwa.

Hebu wakuu wa vyuo vya kilimo tuambieni huyu mtu kakosa kigezo gani! Au mnatuletea ya UHAMIAJI?
 

ningekujibu ila sema umekiuka taratibu za uhadishi hapo mwishoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…